語彙詳細
farasi
変化形:farasi
(1) [n] [9/10] 馬
<例文>
Farasi walikuwa ndio vipando vikubwa vya wakati ule.
馬は当時一般的な乗り物であった。
Farasi huyu hapitiki kwa mbio.
この馬は速さでは負けるものはない。
Yule farasi wake alijikwaa na jiwe akaanguka kimgongomgongo.
その彼の馬は石に蹟きもんどり打って倒れた。
Nje kulikuwa na farasi watatu. Saidi mwenyewe alimpanda yule aliyekuwa mzuri zaidi kuliko wote, na wale wawili wengine walikuwa kwa ajili ya wale watumishi.
外には三頭の馬がいた。サイディはその中で一番立派な馬に乗った。他の二頭はその従者のためのものであった。
Akaamuru Sultani kutandikwa farasi.
サルタンは馬に鞍を置くように命じた。
Watu wa huko hupanda farasi lakini farasi hao hawana hatamu wala kikuku cha kupandia.
そこの人達は馬には来るがその馬にはくつわもあぶみもついていない。
Alikagua vikosi hivyo na ilhali yuko juu ya farasi.
彼は馬上から閲兵した。
Alimgeuza farasi wake na hakutazama nyuma tena.
彼は馬首をめぐらせ再び後を振り返える事をしなかった。
Alikuwa hodari kabisa wa kupanda farasi. Huweza kumchupia na hali ya kuwa anakwenda mbio.
彼は乗馬が極めて得意で走っている馬に飛び乗る事が出来た。
Kila mnyama ambaye mmoja wa wazee wake wawili analiwa na wa pili haliwi, kama mtoto aliyepatikana baina ya farasi na punda huwa hukumu yake ni haramu.
たとえば馬とろばの間に出来る子供のようにその両親のうち片方が食べられてもう一方が食べられないような動物はすべて食べてはいけないと規定されている。
Mwanamke akiumbika vizuri, humwita mwenye umbo la farasi.
女性で体の線がきれいな人の事を見事な馬のような体の線をしている人と云います。