語彙詳細
shahamu
変化形:shahamu
(1) [n] [9/10] 脂肪(動物の),ラード,グリース
<例文>
Siku hizi amekuwa mzee, shahamu zimemjaa.
この頃彼は脂肪がついてふけて来た。
Kabla ya kuyayushwa huitwa shahamu na baada ya kuyayuka huitwa mafuta.
溶ける前を脂肪と云い,溶けてからを油と云う。
Kuwa na shahamu katika mwili kupita kiasi kunaleta madhara.
体に脂肪がつき過ぎるのはよくない。
Kuku huyu ana shahamu nyingi.
この鶏は脂肪が多い。
Nikila shahamu ya ng'ombe, inanichafua roho.
私は牛の脂肪を食べるとむかむかします。
Leo mchuzi sikuutia samli; shahamu ilitosha kukaangia.
今日はスープにはギーを入れませんでした。肉から出た脂肪だけで充分いためられましたから。