語彙詳細
ndege
変化形:ndege
(1) [n] [9/10an] 鳥,幸先(さいさき)
<例文>
Ndege hutegwa kwa mtama na hunaswa kwa urimbo.
鳥はきびの罠におびき寄せられては鳥もちで取り抑えられる。(俚諺:えびで鯛釣る)
Ndege huyo bado yungali kinda.
この鳥は未だ雛です。
Siku ya sita ya sagari ndege watatu walionekana kawa mara ya kwanza. Siku ya saba ndge zaidi walionekana na meli ya mafuta ilitupita kwa mbali.
海路六日目初めて三羽の鳥が眺められた。七日目には更に多くの島が見られた。そしてはるか沖合いを油送船がかすめて通った。
Baadi ya ndege huwa na milio mizuri.
鳥の中にはきれいな鳴き声をしているのもある。
Laiti, laiti ningelikuwa ndege, ningeliruka mtini.
せめて私が小鳥なら飛んで木の間に帰えるのに。(歌詞)
Ndege, kilichokuudhi nini kurudi kwako msituni?
小鳥よ,何が辛らくてお前は里の森に帰えるのか。(歌詞)
Dalili ya kukurubia pahala penye maisha ni kuona ndege.
人里を探し当てる目安は鳥を見る事だ。
Alimtunga yule ndege kwa bunduki yake naalipofyatuna risasi tu, ndege alianguka chini.
彼はその鳥に銃の狙いをつけた。そして発射と同時に鳥は地面に落ちた。
Tundu kwa ndege ni kama gereza kwa wanadamu.
鳥にとっての鳥籠はちょうど人間にとっての牢獄と同じだ。
Ndege huyu hashindwi na ndege ovyo kwa kuimba.
この鳥は歌う事にかけてはそんじょそこらの鳥に負けたりはしない。
Kila ndege huruka kwa bawa lake.
全ての鳥は皆夫々(それぞれ)の翼を使って飛んで行く。