語彙詳細
Ziraili
変化形:
(1) [n] [1]
<例文>
Ziraili akiisha kuingia nyumbani, huvigeuza vile vicheko na vigelegele vya kila siku kuwa kilio na maombolezo. Maisha ya raha ya dunia hugeuka janga la mauti na ole wa ahera.
一旦、無情の風吹かば、これ迄の日々のあの笑ひさんざめき忽ち失せて悲しみと嘆きに変じ、この世の快楽は一夜にしてあの世での無念さに変するもの也。