語彙詳細
wavu
変化形:nyavu
(1) [n] [11/10] 網
<例文>
Wavu huu unaweza kuhimili taabu.
この網は充分堪えられます。
Wavu umechukuliwa na maji.
網が流された。
Wanatumia nyuzi maalum kusukia nyavu za kuvulia samaki.
漁網を編むのに彼らは特殊な糸を使います。
Nyavu hizi si madhubuti, zinakatikakatika.
この網は弱い,すぐに切れる。
Siku hizi wavuvi wanatumia sana nyabu badala ya mishipi.
この頃では漁師は釣り糸でなくよく網を使う。
Wavuvi wanayo maarifa ya kutengeneza nyavu zao wenyewe zinapoharibika.
漁師は綱が破れた時には自分で修理する事を心得ている。
Kwa hivyo mzigo mkubwa wa kusahihisha karatasi na kutoa zile jumla kila mwezi humwangukia mwalimu ikawa kama vile wavu mkubwa uliokamata samaki kidogo.
従って教師には毎月答案を訂正して集計を出すと云う重い負担がかかる事になります。それはちょうど僅かな魚しかかからなかった大きな網のようなものになります。
Nilimkuta anatandaza nyavu zake juani.
行って見ると彼は網を日向に拡げていた。
Bustani yake aliizungushia nyavu za chuma.
彼は庭園に金網を張り巡ぐらせた。
Madirisha yote yalitiwa nyavu za waya nyembamba ili mbu wasiweze kupenya.
蚊がはいり込めないようにするために窓には全部細い金網を張った。
Baadhi ya wanyama hutegwa nyavu.
動物の中には網で捕えるものもあります。