語彙詳細
chumvi
変化形:chumvi
(1)
[n]
[9/10] 塩
<例文>
Chumvi imeyayuka.
塩が湿ってしまった。
Chakula hiki hakiliki; mpishi chumvi imemponyoka.
この食事は食べられません。調理をした人がうっかりして塩を入れ過ぎたのです。
Huu wiyukwa mke nakwa mume nikama chumvi kwa chakula; inataka isizidi wala isiwe haba.
妻と夫に対するこの嫉妬と云うものはちょうど食べ物に対する塩のようなもので多すぎても少なすぎてもいけない。
Kuuza chumvi usiku ni nuksi kwa mwenye duka.
夜塩を売るのはそこの店主にとって凶となる。(俗信)
Mwanamke mwenye mimba akitumia chumvi nyingi huvimba miguu.
妊婦が余り塩を摂りすぎると足が脹れる。
Samaki kamtia chumvi nyingi asioze.
彼は魚が腐らないように塩をたくさん入れた。
Anapenda kutumia chumvi ya unga kuliko ya mawe.
彼女は岩塩より食塩を使う方が好きだ。
Chakula kisichotiwa chumvi hakionei raha.
塩を入れない食事はおいしくない。
Hewa ya pahala hapo ilihanikiza chumvi chumvi.
そこの空気は塩気を含んでいた。
Maji ya bahari hutengenezwa(=hufanyawa) chumvi.
海水から塩が採れます。
Chumvi' ina majina mawili mengine ambayo ni 'mkuu wa jikoni' na 'dawa ya mboga'.
「塩」には「台所の親方」、「野菜の薬」と云う二つの別の名称があります。