語彙詳細
nyumba
変化形:nyumba
(1) [n] [9/10] 家,住居,巣
<例文>
Kila nyumba ya ndege huwa na mkato wake.
鳥の巣にはそれぞれの間仕切りがあります。
Niliona mayai mawili madogo katikanyumba ya ndege huyo chini ya upenu wa nyumba yangu.
私は家の軒下にある巣の中に小さな卵が二つあるのを見ました。
Ndege huyo aitweye chozi hujenga nyumba yake katikati ya miiba.
チョジと云うその鳥はいばらの中に巣を作る。
Nyumba za ndege hutafautika kwa mujibu wa kabila zao.
鳥の巣はその種類によって違います。
Kama ndege anavyojitembelea kutoka nyumbani mwake, vile vile mtu anajitembelea katika nchi aliyozaliwa.
鳥が巣から出て自由に飛びまわるように人間も故国を出て自由に歩きまわる。
Nyumba ya wavuvi!
放埓に散らし放題に散らかしてる家。