語彙詳細
nyoya
変化形:manyoya
(1) [n] [5/6] 羽毛
<例文>
Manyoya ya tausi yana rangi ya kupendeza.
くじゃくの羽は美しい色をしている。
Baadhi ya ndege wana manyoya malani.
鳥の中には柔かい羽をしているものもある。
Nchani zaidi, kwa juu ya zile bendera, kulifunfiwa manyoya ya kuku mweupe.
その旗のもっと上の端に近いところには白い鶏の羽が結びつけてあった。
Alimpepea Mwanawe kwa upepeo wa manyoya ya ndege.
彼女は子供を羽の扇であおいでやった。
Baada ya kumchinja kuku, alimnyonyoa manyoya yote.
鶏を潰ぶした後で彼は毛をむしった。
Mto huu ndani yake mna manyoya ya ndege.
この枕は中に鳥の羽がはいっています。
Kavaa kofia iliyochomekwa unyoya.
彼は鳥の羽を差した帽子を被っています。
Watu wengi wanapendelea sana kusagisha masikio yao kwa unyoya wa ndege.
鳥の羽で耳をきれいにするのを好む人が多い。
Walipokuwa wakicheza ngoma, walivaa manyoya ya ndege viunoni.
踊っている時彼らは腰に鳥の羽をつけていた。