語彙詳細
bawa
変化形:mabawa
(1) [n] [5/6] 翼
<例文>
Kila ndege huruka na mbawa zaka.
鳥はそれぞれ自分の羽で飛ぶ。(俚諺:人はめいめい自分の資力能力に応じた生活を営んで行く)
Mbawa zaka hazina nguvu.
羽に力がない。
Mbawa zilinaswa na urimbo asiweze kuruka tena.
羽に鳥もちがくっついて鳥はもう飛べなかった。
Kunguru mwoga hukimbiza bawa lake.
臆病なからすは羽をすぼめる。(俚諺:臆病者は冒険が出来ぬ)
Alishindwa kukunjua mbawa zake.
その鳥は羽を伸ばせなかった。
Mwewe wanaruka juu na huku wanazieleza mbawa zao angani.
とびが羽をぴんと拡げて空を舞っている。
Popo vile vile walikuwa wakiruka na kuwapiga mbawa zao usoni.
こうもりも飛び交っていてその羽で彼らの一行の顔を叩くのだった。
Kuku aliwaficha wanawe chini ya mbawa zake.
鶏が羽の下に子供を隠した。
Siku hizi kaota mbawa.
この頃あの子は羽が生えてすぐどこかへ飛んでしまうのですよ。(慣用)
Kaficha mbawa zake.
なあに猫を被ってるんですよ。(慣用)
Alipigapiga mbawa zake na ghafla akato weka.
羽をばたばたと云わせるとさっと見えなくなってしまった。
Kavunjika ubawa mmoja.
片方の羽が折れている。
Kapigwa ubawani Mwake.
羽をやられている。
Wakamwamrisha ampande aende naye; nawao wakawa wanaruka kawa mbawa zao kumfuata-mmoja kuliani na mwingine kushotoni.
彼ら(天使)は彼(マホメット)にその動物に乗って行くように命じた。彼らは自分の翼でまい上がり一人は彼の左にもう一人は右になって彼につき添った。
Alivaa nguo zake zenye mbawa akaruka.
彼女は羽のついた服を着てまい上がった。