語彙詳細
jasho
変化形:majasho
(1)
[n]
[5/6] 汗
<例文>
Jasho linaharibu nguo sana.
汗で服がひどく痛みます。
Jasho linamtiririka kama maji.
彼は汗が滝のように滴っている。
Jasho linamtoka kwa wingi mpaka linafanya alama ya chumvi nguoni.
彼はひどく汗をかくので服が塩を吹いてます。
Niliposikia habari hizo, kilinitoka kijasho chembamba.
その知らせを聞いて私は冷や汗が出た。
Karoa jasho mgongoni.
彼は汗で背中が濡れています。
Nilipoamka asubuni, niliona shuka limeroa majasho.
私が朝目を覚ますと敷布が汗で濡れていました。
Chochote ashikacho huroa, hata hizo pesa aletapo huwa zimejaa majasho yake.
あの人が触ると何でも湿ってしまうんですよ,例のお金を持って来てくれる時なんかいつもお金が汗でびしょびしょになってるんです。
Na vile vile ana tabia ya kutokwa na jasho katika viganja vya mikono na miguuni nyayoni.
それにまたあの人は掌や足の裏に汗をかく体質なんです。
Jipanguse jasho.
汗を拭きなさい。
Jasho jembarrlba.
細かい汗。