語彙詳細
jaraha
変化形:majaraha
(1)
[n]
[5/6] 傷
<例文>
Kijaraha chake kimeanza kutunga usaha.
彼の傷がうみ始めた。
Kijaraha chake kimefufuka upya.
彼の傷がまた新らたになった。
Kijaraha chake kingali kibichi.
彼の傷はまだ生々しい。
Kijaraha chake kimetonesheka kinatoka damu.
彼の傷口に物が当って血が出ています。
Kijaraha chake kimeshapona zamani.
彼の傷はもうとっくに治ってしまいました。
Kijaraha chake kimevunda kinatoa harufu mbaya.
彼の傷は長びいて悪臭を放っている。
Asili ya kijaraha chake alitafunwa na mbwa.
彼の怪我の原因は犬に咬まれたからです。
Kijaraha kimeacha alama ya kovu.
怪我が治って後が傷になった。
Vijaraha vyake vilisababisha na ajali ya gari.
彼の怪我は自動車事故です。
Alikuwa amekonda kwa njaa na shida za jua. Mwili wake wote ulikuwa umefanya vijaraha na mistari ya kuparuzwa na miiba.
彼は飢えと強い日射でやせ果て体中怪我ととげで受けた引き掻き傷だらけであった。
Kajaa vijaraha mwili mzima.
彼は全身に怪我をしている。