語彙詳細
ugonjwa
変化形:magonjwa
(1) [n] [11/6] 病気
<例文>
Ugonjwa ndio kwanza umemwanza.
彼は病気になって未だ間がありません。
Ule ugonjwa wake ulizid kupita siku zote zilizopita, ikawa hata sauti inaanza kupotea.
彼のその病気はそれまでより一段と重くなり,声も出にくくなった。
Alihisi kuwa ugonjwa ule aliokuwa nao utamfisha.
彼は今煩らっているその病気が自分の命取りになるだろうと思った。
Hii ni amri ya serikali, kila mtu asafiriye kwenda nchi ya kigeni lazima achanjwe, ili kujihifadhi na ugonjwa wa ndui.
これは政府の命令です。外国旅行をする者は誰でも天然痘から身を守るために種痘を受けなければなりません。
Alishikwa na ugonjwa kwa kukaa sana juani.
長い事日向にいたので彼は病気になった。
Kuuhifadhi mwili na ugonjwa.
病気から体を守る。
Ugonjwa usiosikia dawa.
薬の利かない病気。
Chakula kitamu ndicho ugonjwa wake.
甘い食べ物と来たら彼は目がない。(慣用)
Magonjwa mengine hayana dawa.
中には治す薬のない病気もある。