語彙詳細
ngozi
変化形:ngozi
(1) [n] [9/10] 皮膚,皮,皮革
<例文>
Ngozi za watoto wachanga laini kama sufi.
赤ちゃんの肌はカポックのように柔かい。
Ngozi itatutunka.
水脹くれが出来きますよ。
Hebu, tazama! Ngozi inanitetemeka (=inanicheza).
ほら,ごらん(私の)皮膚がけいれんしてる。
Kavaa nguo nyepesi; ngozi inaonekana.
彼女は薄い服を着てるので肌が透けて見える。
Kachezea maji mpaka ngozi ya vidole imevia.
彼は手の皮に皺が寄るまで水遊びをした。
Ngozi zinamning'inia kwa uzee.
彼は年で皮膚がたるんでいる。
Nimechunika ngozi kwa kujikuna sana.
余り掻いたので私は皮が剥けてしまいました。
Kababuka ngozi kwa kumwagikiwa na maji ya moto.
熱湯をかぶって彼は皮がめくれてしまいました。
Baada ya kumchinja mbuzi, walimchuna ngozi.
その山羊を屠殺した後で彼らは皮を剥いだ。
Kila mwamba ngoma, ngozi huivutia kwake.
太鼓の皮張りはみんな自分の方-皮を引っ張る。(俚諺:我田引水)
Ngozi ya mamba hutumiwa kwa mapambo.
わにの皮は装飾に使われます。
Hirizi yake imevishwa ngozi.
彼のお守りは皮でくるんである。
Ngozi kama hizo zinawafaa sana kwa sababu hazichomeki sana kwa miiba, tena saa za usiku ikiwa baridi sana huwafanya wasione baridi.
このような毛皮は(豹には)とても役に立っています。なぜならとげが刺さらないからです,それに夜とても寒い時でも寒さを感じなくて済みます。
Akitaka kujilinda, atakaa kimya amefichwa kwa madoadoa ya ngozi yake.
もし(豹が)身を守ろうと思えばその毛皮の斑点のお陰でじっと隠れておれます。
Kila mwamba ngoma, ngozi huivutia kwake.
我が仏、尊とし。(我田引水)。